“Kristo Anawabariki Wanefi,” Liahona, Septemba 2024.
Sanaa ya Kitabu cha Mormoni
Kristo Anawabariki Wanefi
“Mnao wowote ambao ni wagonjwa miongoni mwenu? … Waleteni hapa na nitawaponya. …
“Na ikawa kwamba wakati alipokuwa amesema hivyo, umati wote … ulisonga mbele na wagonjwa wao na wote waliosumbuka, na vilema wao, na vipofu wao, na bubu wao, na wote walio sumbuka kwa jinsi yoyote; na akawaponya.”
Kristo Anawabariki Wanefi kwenye Hekalu la Neema, na Minerva Teichert