“Msikilize Yeye,” Liahona, Machi 2023
Msikilize Yeye
“Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Bwana, tuokoe, tunaangamia.
“Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga, enyi wa imani haba? Mara akaondoka, akazikemea pepo na bahari; kukawa shwari kuu.”
Mathayo 8:25–26
Yesu Akiwa Amelala Usingizi ndani ya Mashua Yake, na Jules Joseph Meynier, Musee Municipal, Cambrai, France / Bridgeman Images