“Yeye Alikuja,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Dec. 2021.
Ujumbe wa kila Mwezi wa Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Desemba 2021
Yeye Alikuja
Mafundisho na Maagano yanashuhudia kwamba Yesu Kristo alikuja duniani na kutufundisha Yeye ni nani na kile Yeye alicholeta kwa watu wote.
Yeye Alizaliwa Duniani
Imeletwa, na Jenedy Paige
Yeye Alikuja Kufanya Mapenzi ya Baba
Duniani Kama Ilivyo Mbinguni, na Justin Kunz
Yeye Alijifunza na Alikua
Naye Mtoto Akakua na Kuimarika katika Roho, na Walter Rane
Yeye Alikuja Kuwakomboa Watu Wote.
Kristo katika Gethsemane, na Michael Malm
Yeye Anawatuma Wengine Kushuhudia juu Yake
Kielelezo na Justin Kunz
Yeye Ndiye Nuru.
Mwana-Kondoo Mdogo, Na Jenedy Paige
© 2021 na Intellectual Reserve, Inc. Haki zote zimehifadhiwa. Imepigwa chapa Marekani. Idhini ya Kiingereza: 6/19. Idhini ya kutafsiri: 6/19. Tafsiri ya Monthly For the Strength of Youth Message, Disemba 2021. Swahili. 17476 743