COVID-19 na Toleo Hili
Kulingana na mabadiliko ya asili yanayoendelea ya janga la COVID-19, nyenzo zingine katika toleo hili zinaweza zisionyeshe hali za sasa au kufaa katika hali ya eneo lako. Tafadhali fuata mwongozo wa hivi karibuni wa Kanisa na serikali.