Liahona, Aprili 2013
Ona kama unawezakupata Liahona iliofichwa katika toleo hili. Kidokezo: Tumia macho yako ya ushujaa.
Kwenye Jadala
Mbele: Kielelezo kwa Picha na Tim Taggart © IRI. Nyuma: Kielelezo kwa Picha na Matthew Reier. Ndani ya jadala la mbele: Picha na Kristine Šumska.