1:22
Ripoti ya Takwimu, 2015
Urais wa Kwanza umetoa ripoti ya takwimu ya Kanisa ifuatayo kufikia Disemba 31, 2015.
Vitengo vya Kanisa
|
Vigingi |
3,174 |
|
Misheni |
418 |
|
Wilaya |
558 |
|
Kata na matawi |
30,016 |
Waumini wa Kanisa
|
Jumla ya Waumini |
15,634,199 |
|
Watoto Wapya wa Kumbukumbu |
114,550 |
|
Waongofu Waliobatizwa |
257,402 |
Wamisionari
|
Wamisionari wa Muda |
74,079 |
|
Wamisionari wa Huduma za Kanisa |
31,779 |
Mahekalu
|
Mahekalu yaliyowekwa wakfu katika mwaka wa 2015: (Córdoba Argentina, Payson Utah, Trujillo Peru, Indianapolis Indiana, na Tijuana Mexico) |
5 |
|
Mahekalu yaliyowekwa wakfu upya (Mexico City Mexico na Montreal Qeubec) |
2 |
|
Mahekalu Yanayofanya Kazi Kufikia Mwishoni wa Mwaka |
149 |