“Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kuwa Bora?” Rafiki, Septemba 2024, 16.
Majibu kutoka kwa Mtume
Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kuwa Bora?
Imetoholewa kutoka “Dakika Zako Nne ,” Liahona, Mei 2014, 11.
Kielelezo na Brooke Smart
Msikilize Roho Mtakatifu.
Kuwa mwenye subira unapoendelea kujaribu.
Tafuta msaada wa Mwokozi na fuata mwongozo Wake.
Kumbuka hauko peke yako. Una Mwokozi wa ulimwengu upande wako!