“Penseli ya Mpatanishi,” Rafiki, Machi 2024, 18–19. Penseli ya Mpatanishi Na Mikaela Wilkins (Imetokana na hadithi ya kweli) Hadithi hii ilitokea huko Madagaska. Ninahitaji hiyo! Wewe! Nimekarishwa sana na huyu msichana! Lakini Yesu alisema samehe. Yesu hataki sisi tupigane. Uko Sawa?” Samahani nilichukua penseli yako. “Ni SAWA. Nimekusamehe. Vielelezo na Tania Rex