“Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa,” Rafiki, Julai 2023, 35.
Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa
Baada ya ufufuko Wake, ni kwa muda gani Yesu Kristo alikaa na wanafunzi Wake?
-
Mwaka mmoja
-
Siku tatu
-
Wiki moja
-
Siku 40
(Ona Matendo ya Mitume 1:3.)
“Ni heri kutoa kuliko kupokea.”
(Matendo ya Mitume 20:35).