“Kwa ajili ya Watoto Wakubwa,” Rafiki, Mei 2023, 35.
Kwa ajili ya Watoto Wakubwa
Ni vipi kati ya hivi Yesu hakuvitolea mfano?
-
Kondoo Aliyepotea
-
Mashua iliyozama
-
Sarafu ya fedha iliyopotea
-
Mwana aliyekimbia mbali na nyumbani
“Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu.”
(Mathayo 23:11).