2022
Wapendwa Wazazi
Machi/Aprili 2022


Wapendwa Wazazi,

boy sharing treat with girl

Hata kabla watoto wenu hawajabatizwa, mnaweza kuwasaidia kujiandaa. Wafundisheni kuhusu toba na kipawa cha Roho Mtakatifu. Wasaidieni waelewe kuhusu maagano watakayoyafanya kwenye ubatizo. Mnaweza kuanza na kurasa hizi:

Kwa upendo,

Gazeti la Rafiki