2010
Vipawa Ambavyo vinatupatia Ujasiri
Machi 2010


Watoto

Vipawa Ambavyo vinatupatia Ujasiri

Rais Eyring anatuambia juu ya vipawa kadhaa ambavyo vinatupatia ujasiri. Soma kila maandiko yaliyopo chini, na uandike jina la kila kipawa katika pengo Ongea na familia yako juu ya jinsi hicho kipawa kinaweza kukupatia ujasiri.

  1. Matendo ya Mitume 22:16

  2. 2 Nefi 4:15

  3. M&M 59:8–9

  4. 2 Nefi 32:5; Yohana 14:26–27

  5. 1 Wathesalonike 5:17