2010
Msingi Thabiti
Februari 2010


Watoto

Msingi Thabiti

Rais Thomas S. Monson alisema tunahitaji kujenga “ushuhuda thabiti wa ukweli.” Mojawapo wa njia bora ya kufanya hivyo ni kusoma maandiko. Tafuta mistari iliyopo chini Andika chini kitu kimoja ulichojifunza katika kila mstari ambacho kinasaidia ushuhuda wako kuwa na nguvu.

Mormoni 7:5

Makala ya Imani 1:10

Moroni 10:5

M&M 11:12

Moroni 7:41

M&M 1:37

Waefeso 6:11