Kujitegemea - Programu na Nyenzo

Rejelea programu nyingi na nyenzo ambazo Kanisa hutoa ili kuboresha kujitegemea kwa ajili ya watu binafsi na familia. Mada zinaanzia na ustawi wa kihisia hadi uboreshaji wa uthabiti wa kifedha. Chunguza fursa nyingi za kuendeleza elimu yako, kuanzisha biashara, kuwasaidia wengine kujifunza kujitegemea, na mengine mengi zaidi.